Biashara
21 February 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe... [Read More]

12 February 2019
Na Grace Semfuko-MAELEZO
Serikali imeweka mpango wa kuboresha mazingira ya Biashara na uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi mpango unaolenga kurahisisha vibali na upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa Viwanda na maeneo ya Kilimo.
Hayo yamebainishwa Jijini Dar Es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji... [Read More]
12 February 2019
Na Peter Haule,
WFM, Tanga
Serikali imetoa agizo kwa watendaji wa Kituo cha pamoja cha Forodha Mpakani- Horohoro, kuwasilisha nyaraka za ujenzi wa Kituo hicho ukiwemo mkataba kwa kuwa miundombinu iliyopo haijakidhi viwango jambo lililosababisha kutofunguliwa rasmi kwa kituo hicho tangu mwaka 2015.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri... [Read More]
01 February 2019
Serikali imeuza TANI LAKI 1 kati ya tani laki mbili na nusu ilizonunua kutoka kwa wakulima kwenye Oparesheni Korosho.
Mnunuzi amekubali kununua tani zote hizo kwa bei ya Tsh. 4,480 kwa kilo moja sawa na zaidi ya Tsh. Bilioni 410.
Kampuni iliyosaini mkataba wa kununua korosho ghafi imekubali kulipa ushuru na kuicha serikali ikikusanya faida ya Tsh... [Read More]
06 September 2018
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley Jensen Natal akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kabla ya kuingia katika eneo hilo.
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiangalia pasi ya kusafiria ya anayedaiwa kuwa mwekezaji wa katika shamba la Kibo and Kikafu Estate, Trevor Robert raia wa Zimbabwe ambalo anatajwa kutokuwa na... [Read More]
23 February 2018
Na Hamza Temba, WMU, Muheza Tanga
..........................................................................
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kujenga kituo cha ulinzi cha kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto zigi kilichopo ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia... [Read More]
21 December 2017
Ubia wenye utata kati ya serikali na wawekezaji SIKILIZA HAPA
Taarifa kwamba kampuni ya TTCL sasa inashikilia mkia wa kibisahara katika sekta ya mawasilianonchini Tanzania kutokana na serikali kuwakaribisha wawekezaji wenye mgongano wa kimaslahi katika sekta hii zinayo historia ndefu sasa.
TTCL ilianzishwa kwa mujibu wa sheria Na.20 ya 1993 na... [Read More]
29 November 2017
Na Mwandishi wetu
Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (eRCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi kwa Upande wa Zanzibar (ZRB) kupitia eRCS kufikia Shilingi Bilioni.7.2, ukilinganisha na Shilingi Bilioni 3.5, ZRB walizokusanya kipindi Kama hicho mwaka 2016 kabla... [Read More]