Home » Nje ya Afrika

Nje ya Afrika

15 February 2016
Polisi nchini Indonesia imewakamata zaidi ya watu 30 kutoka makundi ya kijihadi wanaoshukiwa kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini humo. Kukamatwa huko kunakuja baada ya taarifa za kinteljensia kuonesha kuwa, washukiwa hao walikuwa wanapanga kutekeleza mashambulizi ya kigaidi katika uwanja wa ndege katika siku zijazo. Aidha, polisi wanasema watu... [Read More]
12 February 2016
Wakati Serikali ya Italia ikimzika raia wake Giulio Regeni, waziri mkuu Matteo Renzi ameionya nchi ya Misri na kusema kuwa urafiki wao uko mashakani kutokana na uchunguzi wao kushindwa kueleza ni namna gani raia wake aliuawa. Waziri mkuu Renzi amesema Serikali ya Misri ilitoa ushirikiano kwenye madai yake kwamba wachunguzi wa nchi yake wahusishwe... [Read More]
11 February 2016
Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mende ambayo inaweza kutumiwa kuwaokoa watu kunapotokea tetemeko la ardhi. Watafiti wanasema roboti hiyo inatumia mbinu zinazotumiwa na mende kutembea kwenye nyufa kupenya vifusi na kuwaokoa walionaswa katika maporomoko. Wanasayansi hao wanasema kuwa endapo roboti hiyo inawezavishwa... [Read More]
11 February 2016
Bw McCafferty alipatikana na maradhi ya moyo akiwa na umri wa miaka 39. Alifanyiwa upasuaji na Sir Magdi Yacoub. Upasuaji wa kwanza wa kupandikiza moyo uliofanikiwa ulifanyiwa nchini Afrika Kusini mwaka 1967 na Prof Christiaan Neethling Barnard na kundi la matabibu 30 katika hospitali ya Groote Schuur, Cape Town. Mgonjwa wao, Louis Washkansky,... [Read More]
10 February 2016
Baraza la chini la bunge la Ufaransa limepitisha mswada wa marekebisho ya katiba yanayolenga kuwavua magaidi uraia wa Ufaransa. Kwa mujibu wa mswada huo, adhabu hiyo ya ziada itatolewa kwa magaidi au wahalifu wanaokiuka maslahi ya kimsingi ya taifa. Mtu anayechukuliwa hatua hiyo atanyang'anywa haki zote za kiraia zikiwemo haki ya kuchagua,... [Read More]
10 February 2016
Takriban watu 15 wakiwemo watoto 10 wa shule wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa, kufuatia gari la kubebea gesi kulipuka leo asubuhi baada ya kugongana na gari jingine mashariki mwa Pakistan. Ajali hiyo ilisababisha moto mkubwa, uliofunika gari mbili zilizokuwa zikipita pamoja na riksho mbili zilizokuwa zikibeba watoto wanaokwenda shule.... [Read More]
09 February 2016
Treni Mbili za abiria zimegongana uso kwa uso kusini mwa Ujerumani leo Jumanne, na kuua watu takribani tisa na kujeruhi zaidi ya 100, katika moja ya ajali mbaya ya treni kushuhudiwa katika nchi hiyo miaka ya karibuni. Mamia ya waokoaji wameendelea kuwaokoa abiria zaidi walionaswa katika mabaki ta treni hiuzo  katika eneo la msitu karibu na Bad... [Read More]
05 February 2016
  Waziri wa Mambo ya Ndani nchini India Dr. G. Parameshwara amesema kwama Binti wa Kitanzania ambae amedhalilishwa nchini India hakuvuliwa nguo kama ilivyoripotiwa. 
05 February 2016
Licha ya serikali ya India kutangaza kuwa watu 5 wamekamatwa kwa kosa la kuwashambulia na kumvua nguo mwanafunzi mmoja raia wa Tanzania, hofu bado imetanda miongoni mwa takriban wanafunzi 150 wa chuo cha Acharya Kaskazini mwa Bangalore . wawakilishi wa wanafunzi hao wameiambia BBC kuwa uoga na hofu ya kutokea kwa mashambulizi zaidi dhidi yao ndio... [Read More]
03 February 2016
Wabunge nchini Uingereza wameanza kujadili mapendekezo ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo David Cameron kuhusu mabadiliko ambayo Uingereza inayataka katika Umoja wa Ulaya. Akiwasilisha mapendekezo yake hivi leo, Cameron amewataka wabunge nchini humo kuunga mkono mapendekezo hayo amabyo yanataka ushiriakiano zaidi na kuangazia ni vipi Uingereza inaweza... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Nje ya Afrika