Tanzania
13 August 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaelekeza wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhusisha masharti ya upandaji miti kwa vibali vya ujenzi.
Ametoa maelekezo hayo Agosti 11, 2022 wakati akishiriki uzinduzi wa kampeni ya ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyokwenda sambamba na zoezi la upandaji... [Read More]
13 August 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imezuia kukata na kupandisha hadhi maeneo ya utawala kwa sababu yanaongeza gharama kwa Serikali.
Rais Samia amesema hayo leo wakati akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba.
Aidha, Rais Samia amesema mwelekeo wa... [Read More]
06 May 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta wamehutubia jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Wafanyabiashara wa Kenya Jijini Nairobi na kuwahakikishia kuwa Serikali za nchi zote mbili zipo tayari kuwapa ushirikiano wowote watakaouhitaji katika kukuza biashara na... [Read More]
22 April 2021
Ni mageuzi makubwa kwenye Sekta ya Madini na uchumi kwa Taifa
Na. Steven Nyamiti, Mwanza.
Kiwanda kikubwa cha kusafisha Dhahabu Afrika Mashariki cha Mwanza Precious Metals Refinery (MPMR) ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa STAMICO kimeanza rasmi uzalishaji.
Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO... [Read More]
20 April 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Uganda na Kampuni za Uwekezaji katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga. Mhe. Rais Samia amekutana na Timu hii Ikulu jijini Dodoma
06 April 2021
Rais wa Tanzania kuunda kamati ya wataalamu kumshauri
Rais Samia amesema Tanzania haiwezi kujitenga kama kisiwa katika janga hilo la corona ambalo linaitikisa dunia kwa mwaka mmoja uliopita.
"Suala la Covid 19 nakusudia kuunda kamati ya kitaalamu. Halifai kulinyamazia bila kufanya tafiti ya kitaalamu. Watuambie upeo wa suala hili... Sio... [Read More]
02 April 2021
Mheshimiwa Liberata Mulamula Waziri wa Mambo ya Nje
Balozi Mulamula amezaliwa pacha na mwenzake na jambo moja ambalo rafiki zake wanalijua kuhusu mtumishi huyu ni mapenzi yake kwa senene -chakula maarufu kwa watu wa mkoa anaotoka wa Kagera.
CHANZO CHA PICHA,BUNGE /TZ
Jenista Mhagama (Ofisi ya Waziri Mkuu - Bunge, Vijana,... [Read More]
26 October 2019
RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA BOEING 787-8 DREAMLINER JIJINI DAR ES SALAAM
Leave a reply
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuaga baada ya kuongoza mamia ya wananchi katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius... [Read More]
21 February 2019
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, (katikati) akikata utepe katika Kijiji cha Lwezera wilayani Geita ambacho kimepata umeme kupitia mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu mzunguko wa kwanza (REA III).Kushoto kwake ni Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma na wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa... [Read More]