Home » Biashara

Biashara

16 February 2016
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawataarifu wafanyabiashara wote kuwa imeanza zoezi la kukakugua taarifa za wafanyabiashara wote nchini ili kuhakiki taarifa zao za biashara na kama wanatunza kumbukumbu za biashara zao.  Zoezi hili litafanywa na maofisa wa TRA ambao watapita  sehemu za biashara kufanya ukaguzi Wafanyabiashara wanaombwa kutoa... [Read More]
16 February 2016
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kwamba inaboresha mfumo wa mashine za kielektroniki za kodi (EFD). Ili maboresho hayo yapokelewe na kukubalika katika mashine za EFD, wafanyabiashara wanashauriwa kuzima na kuwasha mashine za EFD.
15 January 2016
Na Woinde Shizza. WACHUUZI wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kutowabana walipe leseni ya ununuzi, kwani uwezo wao ni mdogo na wao ni madalali siyo wanunuzi wa madini hayo. Wakizungumza juzi wachuuzi hao walidai kuwa hawapingi kulipa mapato ya serikali ila zoezi la ulipaji wa leseni... [Read More]
13 January 2016
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ametoa onyo
kwa Uongozi wa Baraza la Mji wa Wete Kisiwani Pemba kutoongeza wafanya
biashara wapya hadi wale wazamani wote watakapopatiwa nafasi za
kufanya biashara mara baada ya kumalizika kwa ujenzi wa soko jipya la
Mji huo.
Alisema wapo watendaji ndani ya Taasisi za... [Read More]

Pages

Subscribe to Biashara