Afrika
09 March 2016
Jeshi la Tunisia limewekwa katika hali ya tahadhari baada ya kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi katika mji wa Ben Guerdan ulioko karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Libya ambapo iliarifiwa kuwa Watu 53 waliuawa.
Kuliripotiwa na mapigano makali juzi jumatatu kati ya jeshi la serikali ya Tunisia na wapiganaji wa kijihadi hali ambayo... [Read More]
08 March 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Job Ndugai wakiwa katika picha ya pamoja na Spikia wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Daniel Fredrick Kadega (katikati) baada ya kuhutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bunge la... [Read More]
08 March 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema tatizo la rushwa barani Afrika limesababisha bara hilo lipoteze dola za Marekani bilioni 150 kila mwaka.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Machi 8, 2016) wakati akihutubia wajumbe wa mkutano wa tano wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) linaloendesha vikao vyake jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulioanza... [Read More]
03 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mheshimiwa Yoeri Kaguta Museveni, ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kujengwa kwa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Tanga nchini Tanzania hadi... [Read More]
03 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, kando ya Mkutano Mkuu wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Mkoani Arusha, ambapo viongozi hao wamekubaliana kuimarisha mahusiano hususani katika masuala ya... [Read More]
03 March 2016
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteuwa rais wa Tanzania John pombe Magufuli kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya hiyo katika mkutano wa 17 wa marais uliofanyika hii leo huko Arumeru Mkoani Arusha.
Akihutubia katika mkutano huo rais magufuli amesema viongozi wa Jumuiya hiyo wote kwa pamoja wamekubali ombi la Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya... [Read More]
02 March 2016
Mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Rosemary, amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge liko Kenya ilhali liko Tanzania.
''Bonde la Oldupai ama Olduvai liko Tanzania, nimekubali kuwa nilikosea nilipokuwa nikihutubia mkutano wa viongozi wa vijana kutoka kote duniani nikiwa New York Marekani(International Young... [Read More]
29 February 2016
Kesi ya mwanasiasa mfungwa raia wa Rwanda,Bibi Victoire ingabire (42), itasikilizwa katika mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye makao yake makuu jijini Arusha Ijumaa, Machi 4 2016.
Ingabire analalamika kuvunjiwa haki zake za msingi za binadamu na haki katika mchakato wa usikilizishwaji kesi yake nchini Rwanda kama... [Read More]
29 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Mkoani Arusha ambako pamoja na mambo mengine ataongoza Mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Jumatano tarehe 02 Machi, 2016 Mjini Arusha.
Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Rais Magufuli... [Read More]
24 February 2016
Viongozi wa Umoja wa Afrika wanatarajiwa kuwasili nchini Burundi hiyo kesho kama njia ya kuongeza jitihada za kumaliza mgogoro wa Burundi uliozuka mwezi April mwaka jana baada ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Ujumbe wa Umoja wa Afrika unaongozwa na rais wa Afrika Kusini Jakob Zuma na utakuwa nchini Burundi kwa siku... [Read More]