Home » Afrika

Afrika

19 February 2016
1. AWAMU YA KWANZA   2. AWAMU YA PILI   SOMA ZAIDI  
19 February 2016
1. AWAMU YA KWANZA   MATOKEO ZAIDI  
19 February 2016
1 - AWAMU YA KWANZA   SOMA ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA
19 February 2016
Idadi ya kura zilizohesabiwa ni  195,369 kura halali 184,217  na kura zilizoharibika ni 11,152 kutoka katika vituo  580 kati ya vituo 28010.  Kiggundu amesema kwamba atasoma matokeo mengine baada yamasaa mawili.   ZAIDI INGIA HAPA
19 February 2016
UGANDA  MATOKEO YA HAPO KWAHAPO  
19 February 2016
Msemaji wa chama cha Forum for Democratic Change Ssemujju Ibrahim Nganda amethibitisha kwamba mgombea urais wa chama hicho Dkt Kizza Besigye aliyekuwa amekamatwa na polisi sasa ameachiliwa huru. Kanali huyo mstaafu ambaye ni kigogo wa upinzani nchini Uganda alikuwa amekamatwa katika kitongoji cha Naguru, mjini Kampala katika nyumba ambayo upinzani... [Read More]
18 February 2016
Uchaguzi mkuu nchini Uganda unafanyika leo, wengi wakiangazia sana uchaguzi wa urais ambapo kuna jumla ya wagombea wanane. Mwanamke ni mmoja, Maureen Kyalya. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahidi kwamba matokeo yatakuwa tayari katika kipindi cha saa 48 baada ya kufungwa kwa vituo saa kumi alasiri. Baada ya hapo, tume inatarajia kuwa ikitangaza... [Read More]
18 February 2016
Serikali ya Jamuhuri ya mungano wa Tanzania imevitaka vyombo vya habari nchini kutenda haki katika kutoa taarifa za habari na vipindi vingine kwa kuwazingatie makundi maalumu ya watu katika jamii. Akizungumza  na waandishi wa habari hii leo Jijini Dar es Salaam,Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu ,Sera, kazi, Ajira, Bunge, na Vijana,Dkt... [Read More]
17 February 2016
Kiongozi wa ulinzi wa karibu na mkuu wa waasi wa kihutu wa Rwanda waliopo nchini DRCongo wa FDLR amejiondoa katika kundi hilo na kujisalimisha nchini Rwanda, duru rasmi kutoka Kigali zimethibitisha. Kaptaine Aphrodice Nyirimpeta aliwasili Kigali Feb 12 na kupelekwa Mutobo kaskazini mwa nchi hiyo, kambi inayowapokea wapiganaji zamani na kuwapiga... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika