Home » Afrika

Afrika

25 March 2016
Upinzani nchini Congo Brazaville umeendelea kusisitiza kuwa hautambui matokeo ya rais yaliyotangazwa juma hili na tume ya uchaguzi nchini humo ambapo yamempa ushindi wa kishindo rais wa sasa Denis Sassou Nguesso.  Kiongozi wa upinzani nchini humo, Guy-Brice Parfait Kolelas amesema kuwa, matokeo hayo ni yakutengenezwa na kwamba uchaguzi ulifanyika... [Read More]
25 March 2016
Viongozi wanaosimamia zoezi la usitishwaji mapigano nchini Sudani Kusini wamevionya vikosi vya pande mbili zinazokinzana nchini humo kuwa jumuiya ya kimataifa inaelekea kukosa uvumilivu kufuatia hatua yao ya kushindwa kutekeleza mkataba wa amani walioutia saini miezi 7 iliyopita. Mkuu wa ujumbe unaosimamia utekelezwaji wa makubaliano ya amani,... [Read More]
25 March 2016
Viongozi wanaosimamia zoezi la usitishwaji mapigano nchini Sudani Kusini wamevionya vikosi vya pande mbili zinazokinzana nchini humo kuwa jumuiya ya kimataifa inaelekea kukosa uvumilivu kufuatia hatua yao ya kushindwa kutekeleza mkataba wa amani walioutia saini miezi 7 iliyopita.
14 March 2016
Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi nhini Uganda, Badru Kigundu, hii leo anatarajiwa kuhojiwa na mawakili wa upande wa Amama Mbabazi kwenye kesi ya kupinga matokeo ya urais yaliyomrejesha madarakani rais Yoweri Kaguta Museveni. Mawakili wa Mbabazi walimwandikia barua msajili wa mahakama ya juu nchini humo, kumuarifu kuwa wakati kesi hii... [Read More]
14 March 2016
Rais wa Malawi, Peter Mutharika amemjia juu muhubiri maarufu nchini Nigeria, aliyedai hivi karibuni wakati wa utabiri wake, kuwa kiongozi huyo atafariki dunia kabla ya April Mosi mwaka huu. Rais Mutahrika amesema kuwa, amepokea taarifa kuhusu unabii wa muhubiri huyo aliyemtaja kwa jina la TB Joshua, ambaye alifanya unabii kuwa yeye pamoja na rais... [Read More]
14 March 2016
Jeshi la Afrika Kusini limekashifu vikali shambulio la kushtukiza lililotekelezwa kuwalenga wanajeshi wake wa kulinda amani kaskazini mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, na kuongeza kuwa kitendo hicho hakikubaliki. Jeshi la Afrika Kusini limetoa kauli hii wakati huu likithibitisha kuwa wanajeshi wake wawili waliuawa juma lililopita kwenye shambulio... [Read More]
14 March 2016
Hatimaye wanajeshi walioasi kwenye jeshila Sudan Kusini na kwenda kupigana sambamba na aliyekuwa makamu wa rais Riek Machar, wamewasili mjini Juba wakimaliza miezi kadhaa ya majadiliano na utawala wa Juba. Miongoni mwa waliowasili mjini Juba hapo jana ni pamoja na aliyekuwa jenerali wa jeshi la Sudan Kusini kabla ya kuasi, Jenerali, Gathoth... [Read More]
14 March 2016
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw. Javier Rielo  amemuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa bomba la kusafirisha Mafuta kutoka nchini Uganda hadi bandari ya Tanga hapa Tanzania haraka iwezekanavyo, kwa kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zipo.... [Read More]
09 March 2016
Polisi mmoja nchini Zimbabwe amefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kumdhalilisha rais kwa kudai kuwa ni mzee sana kuongoza huku akimfananisha mke wake na wasichana wanaofanya biashara ya ngono. Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Zimbabwe, vimeripoti kuwa, polisi huyo, Thompson Joseph Mloyi, amekana mashtaka dhidi yake, ambapo anadaiwa kuwa... [Read More]
09 March 2016
Upinzani nchini Niger umesema kuwa hautashiriki Duru ya pili ya uchaguzi wa rais ambao umepangwa kufanyika tarehe 20 mwezi huu wa Marchi. Uchaguzi huu utafanyika wakati Hama Amadou, hasimu wa Rais Mahamadou Issoufou wa Niger katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini humo, bado anaendelea kushikiliwa na vyombo vya dola licha ya kukaribia... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika