Home » Afrika

Afrika

04 February 2016
Visa vya dhuluma za kijinsia dhidi ya watoto vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara hasa katika eneo la Pwani ya Kenya, vikidaiwa kuchangiwa na mila za jadi na jamii kutoripoti visa hivyo kwa idara husika, kwa hofu ya unyanyapaa.   Shirika moja la kimataifa linalofadhili miradi ya kijamii kuhudumia watoto la Plan international katika jimbo la Kilifi... [Read More]
04 February 2016
Serikali ya Syria na Upande wa upinzi wa syria wamenyoosheana kidole cha lawama kufuatia kusitishwa kwa mazungumzo ya amani ya huko Geneva. Mjumbe wa umoja wa mataifa Staffan de Mistura ametoa wito wa kusitishwa kwa mazungumzo ya amani kuhusu syria kwa muda hadi yatakapoendelea tarehe 25 mwezi huu. Hata hivyo wajumbe wa upinzani HNC wamesema... [Read More]
03 February 2016
Mwakilishi wa upinzani katika mazungumzo ya amani ya Syria Mohammed Alloush anasema hana matumaini ya kupatikana kwa mwafaka baada ya mazungumzo hayo kuanza jana mjini Geneva nchini Uswizi. Kiongozi huyo wa upinzani amesema kuwa haitawezekana wao kama wapinzani kuunda serikali ya umoja wa washirika wa karibu wa rais Bashar Al Assad. Alloush,... [Read More]
03 February 2016
Mahakama ya rufaa nchini Misri imebadilisha hukumu ya Mahakama kuu nchini humo iliyotaka wafuasi 149 wa kundi lillopigwa marufuku la Muslim Brotherhood kunyongwa . Mahakama imetaka watu hao kushtakiwa upya kwa tuhma za kusababisha mauaji ya maafisa wa polisi 13 karibu na jiji kuu Cairo mwaka 2013.
Watu wengine, 37 walikuwa wamehukumiwa kifo... [Read More]
03 February 2016
Polisi nchini Somalia wamesema kuwa watu wawili wamejeruhiwa baada ya ndege waliyokuwa wanasafiria kushika moto, huku wengine zaidi ya hamsini wakiwa salama. Maafisa wa usalama nchini humo wanasema ndege ya shirika linalofahamika kama Daallo Airlines, ililazimika kutua katika hali ya dharura punde baada ya rubani wa ndege hiyo Vladimir Vodopivec... [Read More]
03 February 2016
Mahakama ya kijeshi mjini kinshasa huko jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imeanza kusikiliza kesi inayomkabili  aliyekuwa kiongozi wa kundi la waasi la FRPI , Germain Katanga al maarufu Simba kufuatia mauaji yaliyotekelezwa na kundi lake mwaka 2003 kijijini Bogoro nchini DRC. Katanga mwenye umri wa miaka 38, alikamatwa mwezi Machi kwa uhalifu wa... [Read More]
03 February 2016
Upinzani nchini Syria umetoa onyo juu ya mashambulizi yanayotekelezwa na majeshi ya serikali katika jimbo la Allepo yatavuruga mazungumzo ya amani yanayoendelea geneva uswizi. Onyo hilo limetolewa na wajumbe wa kamati ya majadiliano HNC ambayo siku ya jumamosi  ilituma jopo la watu 17 wakiwemo viongozi watatu wa waasi kushiriki mazungumzo ya... [Read More]
02 February 2016
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa na Mheshimiwa  Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika kuwa Mwakilishi wa Umoja wa Afrika  katika mchakato wa usuluhishi wa mgogoro wa Libya. Kufuatia uteuzi huo uliotangazwa rasmi na AU jana katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Afrika, Rais Mstaafu Kikwete leo asubuhi... [Read More]
28 January 2016
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema taifa lake liko tayari kuurejesha ukurasa mpya wa ushirikiano wa kidiplomasia na Ufaransa, na hii baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya kihistoria ya kudhibiti mpango wa nyuklia wa Iran ili nchi hiyo iondolewe vikwazo ilivyowekewa na mataifa ya magharibi. Rouhani amewasili Paris hapo jana jumatano akitokea mjini... [Read More]
28 January 2016
Maafisa wakuu wa jeshi la umoja wa mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo MONUSCO wamethibitisha kuwa Majeshi yao yameimarisha ulinzi katika eneo la mpaka kati ya DRC na Burundi, majuma kadhaa baada ya kuenea kwa taarifa ya uwepo wa makundi ya waasi kutoka burundi katika eneo hilo. Katika mahojiano na mwandishi wa RFI idhaa ya kifaransa... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika