Home » Makala

Makala

16 November 2015
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi -CCM Dakta JOHN MAGUFULI amesema kuwa siku zote katika maisha yake atahubiri amani kwa watanzania vinginevyo hafai kuwa Rais kwa kuwa amani ndio msingi wa maendeleo ya taifa lolote duniani. Dakta MAGUFULI amesema hayo Mjini BUTIAMA katika mkutano wake wa kwanza wa Kampeni  Mkoani MARA. Dakta MAGUFULI amesema... [Read More]
16 November 2015
Baraza la  Wanawake  CHADEMA  BAWACHA  ZANZIBAR  limepanga  kushusha  bendera zote  za CHADEMA  Kisiwani  Zanzibar  ndani  ya masaa 24  endapo  ombi lao la kurejesha viti vyao maalum  katika mikoa mitano  Unguja na Pemba  halitazingatiwa. Akitoa taarifa hiyo mjini  Unguja mbele ya vyombo vya habari   Makamu  Mwenyekiti wa BAWACHA  ZANZIBAR Bibi... [Read More]
28 October 2015
(CNN) - On June 15 2015, Asmelash Zeferu sat at the end of a runway, over a decade of work malfunctioning around him. The Ethiopian amateur pilot was as shattered as his propeller. There had been doubters, those who had called him "mad." Many had turned up at the airfield, 40 kilometers north of Addis Ababa, to watch him take off. He had been... [Read More]

Pages

Subscribe to Makala