Afrika
07 August 2018
Rais wa DRC Joseph Kabila ameitisha kikao na wajumbe wa vyama vinavyomuunga mkono. Ajenda ya mkutano huo ni uteuzi wa mgombea urais katika uchaguzi wa Agosti 8, siku moja kabla ya muda uliyotolewa kwa wagombea kuwasilisha fomu zao kumalizika, kwa mujibu wa shirika la habari la AFP.
Kwa mujibu wa Katiba, rais Kabila hawezi kuwania katika... [Read More]
08 November 2017
Tume ya Uchaguzi nchini DR Congo imetangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa urais na kurejelea kauli yake ya awali baada ya balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley kuonya kutokea kwa vurugu kama uchaguzi hautafayika haraka.
Tume ya Uchaguzi Drc, CENI, imetangaza kwamba uchaguzi wa urais utafanyika Desemba 2018, badala ya Aprili mwaka... [Read More]
08 November 2017
Nchini Zimbabwe, suala la kumrithi rais Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka 93, linaendelea kuzua malumbani ndani ya chama tawala nchini humo. Mkewe, Grace Mugabe, alitangaza siku ya Jumapili, Novemba 5 kwamba yuko tayari kumrithi mumewe.
"Ninamwambia Mugabe: unapaswa kuniruhusu nichukua nafasi yako," mkewe, Grace Mugabe, alisema mbele ya... [Read More]
30 August 2017
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba kesho ataongoza mkutano wa siku moja utakaozungumzia suala la wakimbizi raia wa Burundi ikiwemo maandalizi ya kuwarejesha kwao wakimbizi raia wa nchi hiyo waliojiandikisha kwa hiari kurejea nyumbani.
Mkutano huo utakaofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere Jijini... [Read More]
30 March 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli afungua kikao cha pamoja cha Mawaziri wa Serikali za Tanzania na Uganda pamoja na wadau kuzungumzia mradi wa ujenzi wa Bomba la Kusafirishia Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Mkutano huo, uliofanyika Ikulu, Dar es salaam, Machi 28, 2017, ulihudhuriwa na... [Read More]
14 March 2017
Wanasayansi nchini AFRIKA KUSINI wamebaini mabaki ya mifupa ya kiumbe kinachofanana kwa kiasi kikubwa na binadamu, ambayo yalifukiwa chini ya ardhi miaka mingi iliyopita.
Mabaki ya kumbe hicho kilichopewa jina la NALEDI, yamepatikana karibu na Mji wa JOHANNESBURG.
Kiumbe hicho kina mikono na miguu kama ya binadamu, ingawa maungo yake ni makubwa.... [Read More]
20 January 2017
RAIS wa Gambia Yahya Jammeh amekataa kuondoka madarakani kutoa nafasi ya kuapishwa kwa Adama Barrow hata baada ya makataa aliyopewa na Senegal kumalizika.
Barrow alipangiwa kuapishwa kuwa rais mpya Alhamisi, na wanajeshi wa nchi za Afrika Magharibi wako tayari kuingilia kati.
Rais huyo mteule sasa ametangaza kwamba ataapishwa katika ubalozi wa... [Read More]
01 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo tarehe 01 Novemba, 2016 wamezindua barabara ya Southern By-pass iliyojengwa kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.
Sherehe ya uzinduzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 28 na... [Read More]
31 October 2016
RAIS wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa Kenya ndio mshirika nambari moja wa Tanzania katika uwekezaji na biashara barani Afrika.
Akizungumza katika ikulu ya rais waKenya jijini Nairobi muda mfupi baada ya kuwasili nchini humo, Rais Magufuli amesisitiza kuwa hakuna taifa jingine ambalo limewekeza nchini mwake kama Kenya.
Amesema kuwa... [Read More]