Tanzania
01 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelaani kitendo cha watu wanaosadikiwa kuwa ni majangili kumuua kwa kumpiga risasi Rubani wa helkopta Kepteni Roger Gower, raia wa Uingereza na kisha kuidondosha helkopta aliyokuwa akiiendesha wakati alipoungana na Askari wanyamapori waliokuwa wakikabiliana na majangili katika pori... [Read More]
01 February 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Maendeleo la Viwanda la Umoja wa Mataifa lenye Makao Makuu yake Nchini Vienna Austria uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. Li Yong, Januari 31,2016 kwenye Ofisi za Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa,
katika mazungumzo yao... [Read More]
01 February 2016
01 February 2016
RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA LEO IKULU DAR ES SALAAM
29 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wawili wa mikoa ya Mwanza na Katavi ili kujaza nafasi za Makatibu Tawala wa mikoa hiyo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais amemteua Kamishna wa Polisi, Clodwing Mtweve kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, ambako anakwenda kujaza... [Read More]
28 January 2016
Chama cha wananchi kimesema hakitoshirikia katika uchaguzi wa marudio wa Visiwani Zanzibar uliopangwa kufanyika tarehe 20 marchi ya mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari muda mchache baada ya kumalizika kwa kikao cha Dharura cha baraza kuu la uongozi la Taifa,jijini Dar es Salaam,
Kaimu mwenyekiti wa Taifa CUF,Bwana Twaha Taslima, amesema... [Read More]
27 January 2016
Katika kuhakikisha elimu ya Tanzania inakua yenye ubora zaidi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limepanga kuisaidia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kuandaa Mpango wa Maendeleo katika Sekta ya Elimu (ESDP), mpango ambao umelenga kusaidia serikali ya Tanzania kutengeneza maudhui na... [Read More]
25 January 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua uteuzi wa Bwana Dickson E. MAIMU, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kuanzia leo, tarehe 25 Januari, 2016.
Aidha, baada ya utenguzi huo, Bwana Dickson E. MAIMU amesimamishwa kazi... [Read More]
25 January 2016
Mahakama kuu kitengo cha ardhi DSM imehairisha kesi ya bomoabomoa kwa wakazi wa Kinondoni mpaka kesho