Tanzania
09 January 2016
#000000">Siku 30 baada ya Serikali ya Tanzania kuzuia matumizi ya picha ya kwanza ya Rais Magufuli, Hatimae picha imetolewa rasmi inayotakiwa kutumika kwenye ofisi za Serikali na zile za binafsi.
08 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Januari, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu Jijini Dar es salaam.
Akizungumza mara baada ya Mazungumzo hayo Rais Mstaafu Mkapa amesema lengo la... [Read More]
07 January 2016
Wananchi Zanzibar wametoa pongezi baada ya Kufurahishwa na utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dk John Pombe Magufuli.
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"
07 January 2016
Wananchi kutumia simu zao za mkononi kuhakiki taarifa za ardhi soma zaidi
07 January 2016
Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospter Muhongo, ameiomba nchi ya Norway kuisaidia Tanzania kupitia mafunzo hususan katika utafutaji na uchimbaji wa gesi na mafuta ili kuongeza wataalam wa gesi na mafuta nchini.
Profesa Muhongo aliyasema hayo katika kikao chake na balozi wa Norway Nchini Hanne-Marie... [Read More]
07 January 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Geita Gold Mining Terry Melpeter kwenye Uwanja wa Ndege wa GGM Geita baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ya wananchi Mkoani humo leo.
07 January 2016
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijaridhia viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam (UDART).
Akizungumza leo na waandishi wa habari, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam... [Read More]