Tanzania
03 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza rasmi kwa Mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliyofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na... [Read More]
01 March 2016
Huduma ya Usambazaji wa Maji Safi katika jiji la Dar es salaam inatarajiwa kuimarika kwa kuwafikia wananchi wengi zaidi. Ujenzi wa Bomba kubwa la kusambazia Maji kutoka chanzo cha Maji cha Ruvu Chini, Bagamoyo mkoani Pwani.
Mradi huo unajengwa na Kampuni ya JBG Gauff Ingenieure kwa gharama ya shilingi Bilioni 141 ambazo zimetolewa na Serikali ya... [Read More]
01 March 2016
Waziri mkuu Kasimu Majaliwa amemsimamisha kazi daktari mmoja wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara, Ligula baada ya kufuatia tuhuma za kumuomba mgonjwa rushwa ya shilingi laki moja na kumuandikia dawa ambazo hazijatumika.
Aidha ameagiza maduka ya dawa yaliyopo karibu na hospitali hiyo kufungwa mara moja baada yeye kuondoka katika eneo la... [Read More]
29 February 2016
'SERIKALI YATENGA SH. BILIONI 1.6/- VYUO VYA UALIMU"
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 1.65/- kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwenye vyuo vya walimu hapa nchini.
Alitoa kauli hiyo (Jumamosi, Februari 27, 2016), wakati akizungumza na walimu na watumishi wa sekta ya elimu kutoka wilaya zote za Mkoa wa... [Read More]
26 February 2016
"Wapiga kura Znz walijitokeza zaidi ya asilimia 100% "- Maalim Seif Hamadi
- Kwa Mujibu wa mgombea wa CUF alipokuwa akisoma matokea alitaja takwimu zifuatazo:-
CUF kura 277,000 = 52.87%
CCM kura 178,363 =47.13% Ukijumlisha
277,000+178,363 = 455,363
52.87%+47.13% = 100% Ukitoa ili kupata mgombea wa CUF Amemzidi mgombea wa CCM kwa... [Read More]
CCM kura 178,363 =47.13% Ukijumlisha
277,000+178,363 = 455,363
52.87%+47.13% = 100% Ukitoa ili kupata mgombea wa CUF Amemzidi mgombea wa CCM kwa... [Read More]
26 February 2016
HAYA NDIYO YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kuwataka waandishi wote wa habari za kiuchunguzi pamoja na watafiti kuweka hadharani na kuueleza umma kile kilichotokea Zanzibar, Waandishi na watafiti mabalimbalai wamejitokeza na vielelezo vinavyoeleza jinsi uchaguzi huo... [Read More]
26 February 2016
HAYA NDIYO YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kuwataka waandishi wote wa habari za kiuchunguzi pamoja na watafiti kuweka hadharani na kuueleza umma kile kilichotokea Zanzibar, Waandishi na watafiti mabalimbalai wamejitokeza na vielelezo vinavyoeleza jinsi uchaguzi... [Read More]
26 February 2016
Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasiorudisha fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni na fomu ya Ahadi ya Uadilifu wamesisitizwa kurudisha fomu hizo leo kabla ya saa 12 jioni katika ya Ofisi ya Tume ya Maadili iliyopo jijini Dar es salaam na watakaoshindwa kufanya hivyo watakua wamejitoa wenyewe kwenye nafasi zao.
Kauli hiyo imetolewa... [Read More]
24 February 2016
Kikosi cha usalama barabarani kanda maalum ya Dar es salaam kimetangaza kukusanya kiasi cha shilingi BILIONI MOJA NUKTA TISA (1.9) kutokana na faini za ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kuanzia siku ya kwanza ya February 2016 mpaka tarehe 22 ya mwezi huu.
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amesema ‘Sio kwamba... [Read More]