Home » Tanzania » Ziara ya Rais Magufuli BOT azuia malipo ya zaidi ya bilioni 900 za malimbikizo

Ziara ya Rais Magufuli BOT azuia malipo ya zaidi ya bilioni 900 za malimbikizo

10 March 2016 | Tanzania

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemuagiza Gavana wa BOT Prof. Beno Ndulu kupia upya orodha ya wafanyakazi 1,391 na kuwaondoa ambao hawana ulazima wa kuwepo  BOT.

Ad