Home » Tanzania » Waziri wa Burundi wa sheria asema mahakimu zaidi ya kumi tayari wamekamatwa kwa tuhuma za kula rushwa.

Waziri wa Burundi wa sheria asema mahakimu zaidi ya kumi tayari wamekamatwa kwa tuhuma za kula rushwa.

25 March 2016 | Tanzania

Siku chache tu baada ya kutangaza vita dhidi ya wala rushwa katika sekta ya sheria, waziri wa Burundi wa sheria asema mahakimu zaidi ya kumi tayari wamekamatwa kwa tuhuma za kula rushwa.

Ad