Home » Tanzania » UTAFITI TACAIDS - Vita dhidi ya ukimwi imepungua kasi

UTAFITI TACAIDS - Vita dhidi ya ukimwi imepungua kasi

04 February 2016 | Tanzania

Katika utafiti ambao tayari wapiga kura 158 wamesha piga kura zao, inaonyesha watu 64 sawa na 40.5% wamesema hali ya mapambano ya UKIMWI unaendelea Vizuri, Huku asilimia wapiga kura 41 sawa na 25.9% wasema hali ya mapambano ya UKIMWI  inakwenda VIBAYA.

Ad