Home » Tanzania » Rais Magufuli akiwahutubia na wakazi wa Babati Mkoani Manyara

Rais Magufuli akiwahutubia na wakazi wa Babati Mkoani Manyara

06 May 2016 | Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha sehemu mbalimbali wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha kwa njia ya barabara leo Mei 6, 2016

Ad