Home » Tanzania » Rais Dkt. Magufuli akiangalia ukarabati wa barabara unaondelea

Rais Dkt. Magufuli akiangalia ukarabati wa barabara unaondelea

07 February 2016 | Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ukarabati unaondelea katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma eneo la Kibaigwa, sehemu ya barabara hiyo inakarabatiwa chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS

Ad