Home » Tanzania » IGP awaapisha makamishina wapya

IGP awaapisha makamishina wapya

16 February 2016 | Tanzania

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Robert Boaz baada ya kupandishwa cheo  na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri wa Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Intelijensia wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Nsato Marijani baada ya kupandishwa cheo  na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu (kushoto) akimpongeza Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Nsato  Marijani baada ya kumuapisha jana Makao makuu ya Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Ad