Home » Tanzania » http://poy2016.com/ - KUMPIGIA KURA RAIS MAGUFULI Forbes

http://poy2016.com/ - KUMPIGIA KURA RAIS MAGUFULI Forbes

27 October 2016 | Tanzania

Forbes wamemtaja Rais Magufuli kama kiongozi ambaye amefanikiwa kuongeza kiwango cha uchumi wa nchi yake huku akishindana na watu wengine kama Michael Le Roux ambaye ni muanzilishi wa Capitec Bank nchini Afrika Kusini, Benki ambazo zimeonekana kuwa rahisi zaidi kutumika na wananchi wa Afrika Kusini.

Wengine ni Thuli Madonsela, Ameenah Gulib pamoja na watu wa Rwanda.

Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda. Tuzo hii iliwahi kutolewa pia kwa mtanzania Mohamed Dewji mwaka 2015.

Mtu wangu unaruhusiwa kumpigia kura ya ushindi Rais Magufuli kupitia Kumbuka mwisho wa kupiga Kura ni November 17, 2016 na tuzo hiyo itatolewa Nairobi Kenya.

Ad