Home » Tanzania » Rais Magufuli amemteua Mkurugenzi Mkuu wa ATCL.

Rais Magufuli amemteua Mkurugenzi Mkuu wa ATCL.

16 September 2016 | Tanzania

Rais Magufuli amemteua Mhandisi Ladislaus Ernest Matindi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL).

Kabla ya uteuzi huu Mhandisi Ladislaus Ernest Matindi alikuwa Mkurugenzi katika Shirika linaloshughulikia masuala ya usafiri wa anga Barani Afrika (EGNOS-Africa Joint Programme Office) lenye makao yake nchini Senegal.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

 
Ad