Home » Bunge » Spika kataja vitu vitakavyojadiliwa kwenye bunge linaloanza Novemba 1

Spika kataja vitu vitakavyojadiliwa kwenye bunge linaloanza Novemba 1

31 October 2016 | Bunge
 

Nov 1 2016 tunatarajia kuanza kuzisikia headline za kutokea bungeni Dodoma ambapo vikao rasmi vya mkutano wa tano wa bunge la 11 utaanza. Leo Spika wa bunge Job Ndugai alikutana na waandishi wa habari Dodoma na kuelezea baadhi ya mikakati itakayofanyika ikiwa ni pamoja na kujadili muswada wa sheria ya za huduma za habari.