Home » Afrika » Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki

08 March 2016 | Afrika

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Job Ndugai wakiwa katika picha ya pamoja na Spikia wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Daniel Fredrick Kadega (katikati) baada ya kuhutubia Mkutano wa  Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteta na Mbunge  wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji baada ya kuhutubia Mkutano wa  Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam

Ad