Masauni Azindua Vituo Mwendo Sita Vya Polisi,Awaasa Wananchi Kujikita Kwenye Shughuli Za Maendeleo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Vituo Mwendo sita vya polisi ambavyovimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambanana uhalifu huku akiwaasa wananchi kujikita kwenye shughuli za maendeleo. Tukiohilo limefanyika, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndaniya Nchi
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi,Nsato Marijaniakizungumza wakati wa Uzinduzi wa Vituo Mwendo sita vya polisi ambavyovimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambanana uhalifu . Tukio hilo limefanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa,akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Vituo Mwendo sita vya polisi ambavyovimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambanana uhalifu . Tukio hilo limefanyika, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi.
Askari wa Kikundi cha Ulinzi Shirikishi kutoka Mkoa wa Polisi Kinondoni,wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi HamadMasauni (hayupo pichani), wakati wa Uzinduzi wa Vituo Mwendo sita vya polisiambavyo vimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia nakupambana na uhalifu. Tukio hilo limefanyika leo, jijini Dar es Salaam. Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Moja ya Vituo Mwendo vya Polisi vilivyozinduliwa leo na Naibu Waziri waMambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), ambavyovitatumika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kipolisi Kinondoni katika kuzuia nakupambana na uhalifu. Tukio hilo limefanyika, jijini Dar es Salaam Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YASERIKALI -WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI