Washirika
20 April 2021
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93.
Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria mkuu, seneta . Alifuata nyayo za mwalimu... [Read More]
13 April 2021
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Watawala wa Cambridge na Sussex wametoa salamu za rambi rambi kwa babu yao, mtawala wa Edinburgh aliyefariki dunia siku ya ijumaa.
Katika taarifa tofauti, Prince William alimtaja kama "mtu wa kipekee", wakati Prince Harry alisema alikuwa "mtu wa huduma" .
"Nitamkosa Babu yangu, lakini najua... [Read More]
09 April 2021
Prince Philip ambaye ni mume wa Malkia Elizabeth wa Uingereza amefariki dunia leo Aprili 09, 2021 akiwa na umri wa miaka 99.
Philip amefariki dunia majira ya asubuhi katika Kasri la Windsor.
Mwezi Machi mwaka huu, Philip alisumbuliwa na maradhi ya moyo na licha ya kuruhusiwa kutoka hospitali, hali yake haikuimarika na aliendelea na... [Read More]
02 April 2021
CHANZO CHA PICHA,MSCHF
Rapa Lil Nas X kwa ushirikiano na kampuni ya MSCHF iliuza viatu vyote ilivyotengeneza chini ya dakika moja Jumatatu
Kampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya 'Viatu vya shetani' vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu... [Read More]
20 December 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2.
Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari kutoka 2 zilizopo sasa hadi 8, kujenga madaraja 6... [Read More]
16 March 2018
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto)akisikiliza maelezo ya Kituo Mwendo cha polisi kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro (katikati), baada ya kuzindua moja ya vituohivyo ambavyo idadi yake ni sita, lengo ikiwa vitumike katika maeneo ya mkoahuo kudhibiti uhalifu. Kulia ni Kamanda wa... [Read More]
11 July 2017
Benny Mwaipaja, WFM-Dar es Salaam
Wakazi wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam, wameiopongeza Serikali kwa kusimamia vizuri masuala ya kodi na kwamba wako tayari kuiunga mkono Serikali kwa kulipa kodi kwa hiari ili iweze kutimiza malengo yake ya kuwahudmia wananchi kimaendeleo.
Wametoa kauli hiyo wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango... [Read More]
13 April 2017
TTCL yazindua kampeni ya “NJOO NYUMBANI HUKO ULIKO SIO KWENU"
Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) imezindua kampeni mpya ya kuhamasisha watumiaji wa simu za mkononi kujiunga na mtandao wa TTCL ulio boreshwa kwa kasi ya 4G LTE wakiwa na kauli mbiu ya ‘Njoo Nyumbani Huko uliko sio kwetu’.
Mteja atakapo nunua kifurushi chochote cha TTCL anapata BURE... [Read More]
22 September 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma kuhakikisha zinasogeza huduma za kijamii karibu na wananchi ili wazipate kwa urahisi na kwa gharama nafuu.
Ametoa wito huo (Jumatano, Septemba 21, 2016) wakati akizindua Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania (2015-2020) na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania kwenye eneo... [Read More]
13 August 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA imeibuka Mshindi wa Kwanza kati ya Taasisi na Wizara za Serikali zinazotoa huduma kwa Jamii, wakifuatiwa na Wizara ya Maji na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakichukua Nafasi ya Tatu katika Maonyesho ya 23 ya Sikukuu ya Wakulima Nananane yaliyofanyika Mjini Lindi Kuanzia Tarehe 01 Agosti 2016 hadi Tarehe 10... [Read More]