Home » Tanzania » Rais Dr. Magufuli azungumza na Watanzania kupitia wahariri

Rais Dr. Magufuli azungumza na Watanzania kupitia wahariri

04 November 2016 | Tanzania

 

 Joined January 2016
 

 

 

 

 

 

 

 

 

Tweets

 
  1.  

    Tunafanya hivi ili hii nchi iwe kimbilio la kila mmoja (utaratibu wa matumizi yenye tija kwa taifa) - Rais

  2.  

    Tumepeleka Tsh. bil 177 tawala za mikoa na si za chai wala zile walizokuwa wakitaka wao - Rais

  3.  

    Madai 63,500 ya walimu, tayari tumeyalipa na bado madai 39,000 sawa na Tsh. bil 33 tunayafanyia uchunguzi - Rais

  4.  

    Suala la ubora wa elimu kwa.sasa limeanza kubadilika na ubora umeanza kupatikana - Rais

  5.  

    Rais kafuta mapumziko ya muda mfupi ya mahojiano baada ya sehemu ya kwanza kumalizika. Anaendelea kujibu maswali

  6.  

    Ni lazima rasilimali za nchi yetu (madini) zinufaishe Watanzania wote - Rais

  7.  

    Tanzanite inapatikana Tanzania tu, lakini nchi ambayo inaongoza kwa kuuza Tanzanite ni India - Rais

  8.  

    Ninachotaka mimi ni biashara balanced. Wafanyabiashara matapeli...SIWAPENDI - Rais

  9.  

    Sisi sote ni walemavu watarajiwa, hatuwezi kulitenga kundi la walemavu kwani wanauwezo sawa na wengine - Rais

  10.  

    Swali kutoka kwa kundi la Watanzania wenye ulemavu kutoka wa mwandishi wa TV Mlimani


  11.  

    Natoa wito kwa Watanzania wote, tuache kujihusisha RUSHWA. RUSWA NI KANSA. Tumeumia kweli kweli - Rais

  12.  

    Mahakama ya mafisadi imeanza kazi. Kesi ya kwanza imeanza jana - Rais

  13.  

    Inafaa vyombo vya habari vishiriki kuitangaza nchi yetu na kuibua fursa kimataifa mf. lugha ya Kiswahili - Rais

  14.  

    Swali juu ya changamoto ya mifugo kwa ustawi wa hifadhi za taifa limeulizwa na mhariri wa Mtanzania & Rai

  15.  

    Mahali ambapo haiwezekani kwa serikali kufanya biashara, lazima tuihusishe sekta binafsi - Rais

  16.  

    Demokrasia tuliyonayo inalienda kwa kufuata sheria na utamaduni wa nchi yetu - Rais akijibu swali la mhariri wa BBC

  17.  

    Tunataka kubadilishe muelekeo wa ununuzi wa vifaa tiba nchini kwa kununua madawa kutoka viwanda vya ndani - Rais

  18.  

    Serikali imeongeza bajeti ya kununua madawa kwa zaidi ya mara 10 ya iliyokuwepo awali - Rais

  19.  

    Lulu Sanga (Tv1)Swali: Sekta ya afya hasa watoto wadogo. Kwanini pesa isiongezwe..

  20.  

    Swali la muundo na matokeo ya muundo wa serikali..limeulizwa na Azam Tv CEO Tido Muhando na Rais analijibu

Ad