Home » Tanzania » TCRA Yazima IMEI zaidi ya 600,000

TCRA Yazima IMEI zaidi ya 600,000

17 June 2016 | Tanzania

Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania imeanza zoezi la kuzuia mawasilino ya simu za mkononi ambazo ni bandia.

Mamlaka hayo yanasema tayari mawasiliano katika simu zaidi ya Laki 6, yamezuiwa zoezi ambalo limesabisha changamoto za mawasilian kwa wamiliki wa simu hizo.

Tanzania inajiunga na Cameroon, Afrika Kusini na Nigeria kuungia simu hizo ambazo watalaam wa afya wanasema zina madhara makubwa lakini pia kwa sababu za kiusalama.

Ad