Home » Tanzania » TWAWEZA: watu 8 kati ya 10 wanataka matangazo ya Bunge LIVE

TWAWEZA: watu 8 kati ya 10 wanataka matangazo ya Bunge LIVE

15 June 2016 | Tanzania

Watanzania walio wengi sawa na 79% hawakubaliani na maamuzi ya serikali ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kupitia runinga na redio.

 

Ad