Mwili wa Marehemu Papa Wemba ulivyowasili Congo leo April 28 2016
28 April 2016 | Afrika
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 taarifa za kifo cha mwimbaji Mkongwe kutoka Congo DRC aitwae Papa Wemba ziliripotiwa kuwa alifariki baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Ivory Coast, leo April 28 2016 mwili wa marehemu Papa Wemba umewasili Congo.