Wazee Wazanzibar watoa Pongezi kwa Dk Magufuli.
07 January 2016 | Uchaguzi
Wananchi Zanzibar, wametoa pongezi baada ya Kufurahishwa na utendaji wa Rais wa Muungano Dk John Pombe Magufuli.
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"