Home » Tanzania » Vyama 12 visivyokuwa na wabunge Alhamisi vimetangaza kushiriki Uchaguzi wa marudio siku ya Jumapili, Machi 20, mwaka huu visiwani Zanzibar.

Vyama 12 visivyokuwa na wabunge Alhamisi vimetangaza kushiriki Uchaguzi wa marudio siku ya Jumapili, Machi 20, mwaka huu visiwani Zanzibar.

18 March 2016 | Tanzania

Vyama 12 visivyokuwa na wabunge Alhamisi vimetangaza kushiriki Uchaguzi wa marudio siku ya Jumapili, Machi 20, mwaka huu visiwani Zanzibar.

Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, baadhi ya viongozi wa vyama hivyo wamesema wameamua kushiriki kwa vile uchaguzi ndio njia pekee ya kuwapata viongozi kwa njia ya kidemokrasia

Vyama hivyo ni  ADC, DP,  CCK, SAU, AFP, TLP, ADA TADEA, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, NRA, UMD, na CHAUSTA.
 

Ad