Kkura zilizohesabiwa 195,369; Kutoka Vituo 580 kati ya vituo 28010
19 February 2016 | Afrika
Idadi ya kura zilizohesabiwa ni 195,369 kura halali 184,217 na kura zilizoharibika ni 11,152 kutoka katika vituo 580 kati ya vituo 28010.
Kiggundu amesema kwamba atasoma matokeo mengine baada yamasaa mawili.