Home » Afrika » Jocelyn Elliot, mwanamke raia wa Australia aliyetekwa nyara

Jocelyn Elliot, mwanamke raia wa Australia aliyetekwa nyara

09 February 2016 | Afrika

Jocelyn Elliot, mwanamke raia wa Australia mwenye umri wa miaka themanini aliyetekwa nyara na wanajihadi nchini Burkina Faso akiwa na mume wake amesema  siku ya jumatatu kuwa ana matumaini ya kukutana na mume wake Ken hivi karibuni kuendeleza shughuli zao , lama ilivyokuwa hapo awali.

Elliott ameyasema hayo punde baada ya kupokelewa na rais wa nchi hiyo Christian Kabore  ambaye amesema kusikitishwa na kitendo cha kutekwa kwa raia hao wa Australia.

Daktari Ken Raia wa Australia na mkewe Jocelyn Elliott, walitekwa nyara siku lilipotokea shambulio mjini Ouagadougou nao wamejenga vituo vya afya tangu miaka ya 70 mjini Djibo karibu na mpaka kati ya nchi hiyo na Mali 1972.

Ad