Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete Balozi wa Heshima (Goodwill Ambassador) wa Maendeleo ya Kilimo
17 June 2016 | Afrika
MJUMBE wa Bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini (Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation, CTA) chenye makao makuu mjini Wageningen, Uholanzi, Prof. Faustin Kamuzora, akikabidhi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete uteuzi wa kuwa Balozi wa Heshima (Goodwill Ambassador) wa Maendeleo ya Kilimo katika Mabara ya Afrika, Karibiani na Pasafiki, uliofanywa na Kituo hicho cha CTA, Pfrof. Kamuzora aliwasilisha uteuzi huo, alipokwenda Ofisini kwa Dk. Kikwete, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jinini Dar es Salaam, juzi.. (Picha na Bashir Nkoromo)