Waziri wa Mambo ya Ndani nchini India Dr. G. Parameshwara atetea Vurugu
05 February 2016 | Nje ya Afrika
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini India Dr. G. Parameshwara amesema kwama Binti wa Kitanzania ambae amedhalilishwa nchini India hakuvuliwa nguo kama ilivyoripotiwa.