Home » Washirika » Masauni Azindua Vituo Mwendo Sita Vya Polisi,Awaasa Wananchi Kujikita Kwenye Shughuli Za Maendeleo

Masauni Azindua Vituo Mwendo Sita Vya Polisi,Awaasa Wananchi Kujikita Kwenye Shughuli Za Maendeleo

16 March 2018 | Washirika

 

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto)akisikiliza maelezo ya Kituo Mwendo cha polisi kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro (katikati), baada ya kuzindua moja ya vituohivyo ambavyo idadi yake ni sita, lengo ikiwa vitumike katika maeneo ya mkoahuo kudhibiti uhalifu. Kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar esSalaam,  Lazaro  Mambosasa.  Tukio  hilo   limefanyika    jijini  Dar  es  Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu   Waziri   wa   Mambo   ya   Ndani   ya   Nchi,   Mhandisi   Hamad  Masauni,akizungumza   wakati   wa   Uzinduzi   wa   Vituo   Mwendo   sita  vya   polisi   ambavyovimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambanana uhalifu huku akiwaasa wananchi kujikita kwenye shughuli za maendeleo. Tukiohilo limefanyika, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndaniya Nchi 

Kamishna   wa   Operesheni   na   Mafunzo   wa   Jeshi   la   Polisi,Nsato  Marijaniakizungumza   wakati   wa   Uzinduzi   wa   Vituo   Mwendo   sita  vya   polisi   ambavyovimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambanana uhalifu . Tukio hilo limefanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi

Kamanda   wa   Kanda   Maalumu   ya   Polisi   Dar   es   Salaam,  Lazaro  Mambosasa,akizungumza   wakati   wa   Uzinduzi   wa   Vituo   Mwendo  sita   vya   polisi   ambavyovimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambanana uhalifu . Tukio hilo limefanyika, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi.

Askari   wa   Kikundi   cha   Ulinzi   Shirikishi   kutoka   Mkoa   wa   Polisi  Kinondoni,wakimsikiliza  Naibu   Waziri   wa   Mambo   ya   Ndani   ya  Nchi,   Mhandisi   HamadMasauni (hayupo pichani), wakati wa Uzinduzi wa Vituo Mwendo sita vya polisiambavyo vimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia nakupambana na uhalifu. Tukio hilo limefanyika leo, jijini Dar es Salaam. Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Moja   ya   Vituo   Mwendo   vya   Polisi   vilivyozinduliwa   leo   na  Naibu  Waziri   waMambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), ambavyovitatumika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kipolisi Kinondoni katika kuzuia nakupambana na uhalifu. Tukio hilo limefanyika, jijini Dar es Salaam Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YASERIKALI -WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI