Home » Washirika

Washirika

20 December 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari kutoka 2 zilizopo sasa hadi 8, kujenga madaraja 6... [Read More]
16 March 2018
    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto)akisikiliza maelezo ya Kituo Mwendo cha polisi kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro (katikati), baada ya kuzindua moja ya vituohivyo ambavyo idadi yake ni sita, lengo ikiwa vitumike katika maeneo ya mkoahuo kudhibiti uhalifu. Kulia ni Kamanda wa... [Read More]
11 July 2017
Benny Mwaipaja, WFM-Dar es Salaam Wakazi wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam, wameiopongeza Serikali kwa kusimamia vizuri masuala ya kodi na kwamba wako tayari kuiunga mkono Serikali kwa kulipa kodi kwa hiari ili iweze kutimiza malengo yake ya kuwahudmia wananchi kimaendeleo.   Wametoa kauli hiyo wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango... [Read More]
13 April 2017
TTCL yazindua kampeni ya “NJOO NYUMBANI HUKO ULIKO SIO KWENU" Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) imezindua kampeni  mpya ya kuhamasisha watumiaji wa simu za mkononi kujiunga na mtandao wa TTCL ulio boreshwa kwa kasi ya 4G LTE wakiwa na kauli mbiu ya ‘Njoo Nyumbani Huko uliko sio kwetu’. Mteja atakapo nunua kifurushi chochote cha TTCL anapata BURE... [Read More]
22 September 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma kuhakikisha zinasogeza huduma za kijamii karibu na wananchi ili wazipate kwa urahisi na kwa gharama nafuu.     Ametoa wito huo  (Jumatano, Septemba 21, 2016) wakati akizindua Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania (2015-2020) na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania kwenye eneo... [Read More]
13 August 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA imeibuka Mshindi wa Kwanza kati ya Taasisi na Wizara za Serikali zinazotoa huduma kwa Jamii, wakifuatiwa na Wizara ya Maji na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakichukua Nafasi ya Tatu katika Maonyesho ya 23 ya Sikukuu ya Wakulima Nananane yaliyofanyika Mjini Lindi Kuanzia Tarehe 01 Agosti 2016 hadi Tarehe 10... [Read More]
16 February 2016
UMUHIMU WA KITAMBULISHO Vitambulisho vya Taifa ni chachu ya maendeleo ya Kiuchumi, kijamii na  kiusalama 1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali 2. Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya. 3. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa... [Read More]
16 February 2016
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini wakiandaliwa vizuri kwa kuwapati elimu ya kodi, taifa litapata walipakodi walio waadilifu.
21 January 2016
Wovuti
21 January 2016
WEBSITE
Subscribe to Washirika