Home » Video » Wananchi Zanzibar wametoa pongezi kwa Dk John Pombe Magufuli

Wananchi Zanzibar wametoa pongezi kwa Dk John Pombe Magufuli

News Category: 

Wananchi Zanzibar  wametoa pongezi  baada ya Kufurahishwa na utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania  Dk John Pombe Magufuli.
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"

Ad