Home » Video » VIDEO - UCHUNGUZI Wabaini kwamba Mgombea Urais Za Zanzibar Maalim Seif aliudanganya Umma kwamba zaidi ya wapiga kura 100% walipigakura

VIDEO - UCHUNGUZI Wabaini kwamba Mgombea Urais Za Zanzibar Maalim Seif aliudanganya Umma kwamba zaidi ya wapiga kura 100% walipigakura

News Category: 

"Wapiga kura Znz walijitokeza zaidi ya asilimia 100% "- Maalim Seif Hamadi

- Kwa Mujibu wa mgombea wa CUF alipokuwa akisoma matokea alitaja takwimu zifuatazo:-

CUF kura 277,000 = 52.87%
CCM kura 178,363 =47.13%

Ukijumlisha
277,000+178,363 = 455,363
52.87%+47.13% = 100%

Ukitoa ili kupata mgombea wa CUF Amemzidi mgombea wa CCM kwa kura ngapi.
277,000-178,363=98,637

 Je? hiyo tofauti ya kura 21,714 ameipata je?

Mambo yanayodhihirisha UWONGO WA MATOKEO HAYA
1. Kama vyama viwili vilipata asilimia 100%Je? Vyama vingine havikupata kura?

2. Je? Hakuna kura zilizo haribika?

3. Je? Hakuna kura zilizokuwa na mgogoro?

4. Je? Walijiandikisha watu wangapi?

5. Je? Walijitokeza kupiga kura watu wangapi?

6. Je? Hawakupiga kura ni asilimia ngapi kati ya waliojindikisha?

......