Home » Tanzania » RAIS MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA 150

RAIS MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA 150

14 December 2017 | Tanzania
#444444; font-family: "Open Sans", Helvetica, Arial, sans-serif; font-size: 14px; line-height: 1.714285714; margin: 0px; padding: 0px 20px 0px 0px; vertical-align: baseline;">
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt.Bilinith Mahenge alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma  disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la nyumba NHC  Brandina Nyoni alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
Muonekano wa baadhi ya nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;"> Mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba NHC  Nehemia Mchechu  akihutubia mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
 
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Waziri wa nyumba na makzai Mhe.Wiliam Lukuvi akihutubia mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la nyumba NHC  Brandina Nyoni katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
 
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
 
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
 
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi kabla ya ufunguzi katika sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpa mkono wa pongezi mbunge wa Dodoma Mjini ambae pia ni Naibu waziri wa Ajira,Vijana ,Kazi na walemavu Anthony Mavunde mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
 
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">
 
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akijaribu kufungua bomba la maji katika moja ya nyumba aliyoingia kukagua mara baada ya  kufungua wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiangalia miundombinu ya chumbani katika moja ya nyumba aliyoingia kukagua mara baada ya  kufungua wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
; margin: 0px; outline: none; padding: 0px; vertical-align: baseline;">Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na msanii Mrisho Mpoto na kundi lake pamoja na msanii wa kikundi cha Mwanamila cha Dodoma  mara baada ya  kufungua wa nyumba 150 za shirika la nyumba (NHC) zilizopo Iyumbu Manispaa ya Dodoma disemba 13,2017.
PICHA NA MAELEZO NA IKULU
Ad