Home » Tanzania » Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu akamilisha ziara yake mkoani Geita

Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu akamilisha ziara yake mkoani Geita

07 January 2016 | Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Geita Gold Mining Terry Melpeter kwenye Uwanja wa Ndege wa GGM Geita baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ya wananchi Mkoani humo leo.

Ad