Home » Tanzania » Makamu wa rais awaomba viongozi wa dini kuendelea kuliombea taifa

Makamu wa rais awaomba viongozi wa dini kuendelea kuliombea taifa

18 November 2015 | Tanzania

Makamu wa Rais , SAMIA  SULUHU  HASSAN amewaomba Viongozi wa Dini kuendelea kuiombea nchi Amani na Utulivu ili Serikali iweze kutimiza Ahadi ilizotoa kupitia Ilani wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Akizungumza na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini kupitia Kamati ya Mahusiano ya Kidini mjini Dodoma, SAMIAH ameshukuru kwa Maombi yaliyofanywa kabla ya Uchaguzi mkuu na kukiri kuwa Uongozi uliopatikana una kazi kubwa ya kufanya.

Ad