Home » Tanzania » “Ahadi ni deni. Nina uhakika kwa wana Dar es Salam ni ushahidi tosha.. kwa sababu tulipokuwa tukijinadi walisema hilo haliwezekani..”

“Ahadi ni deni. Nina uhakika kwa wana Dar es Salam ni ushahidi tosha.. kwa sababu tulipokuwa tukijinadi walisema hilo haliwezekani..”

03 October 2018 | Tanzania

FLYOVER YA ENG. MFUGALE; KUTOKA WAZO, AHADI,

MAAMUZI, USIMAMIZI HADI UHALISIA!

“Mtakumbuka ndugu zangu.. wakati tukiomba kura.. ili tuchaguliwe;

Tulieleza mengi.”

“Na moja ya yale tuliyoyaeleza..na hasa mimi nilipokuwa hapa

Dar es Salaam, nilisema nitahakikisha barabara ya Flyover

inajengwa na Dar es Salaam inabadilika.”

“Ahadi ni deni. Nina uhakika kwa wana Dar es Salam leo ni

ushahidi tosha.. kwa sababu tulipokuwa tukijinadi walisema hilo

haliwezekani..”

ijengwe barabara ya juu kabisa hapa Dar es Salaam?! Ili watani

zangu wazaramo wawe wanafungia ndoa huko..hicho hakiwezekani!”

“Lakini hayawi hayawi, yamekuwa..”

“kazi yangu itakuwa ni kuchapa kazi tu..kazi tu.. kazi tu..” –

Rais Magufuli