Home » Nje Ya Afrika » Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Saudi Arabia kwa ziara ya siku mbili.

Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Saudi Arabia kwa ziara ya siku mbili.

20 April 2016 | Nje ya Afrika

Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Saudi Arabia kwa ziara ya siku mbili.

Obama anatarajiwa kutumia ziara hii kuonesha ushirikiano wa nchi hiyo katika vita dhidi ya Wanajihadi.

Mzozo wa Syria na Yemen pia utajadiliwa katika ziara hiyo.

Baadhi ya wanasiasa nchini Marekani walishtumu ziara hii ya rais Obama wakiishtumu serikali ya Riyadh kwa kuhusika na shambulizi ya kigaidi mwaka 2001.

Rais Obama pia atahudhuria mkutano wa mataifa ya Ghuba.

Ad