Home » Nje Ya Afrika » Mgonjwa wa ZIKA texas alijamiiana

Mgonjwa wa ZIKA texas alijamiiana

03 February 2016 | Nje ya Afrika

Shirika la Afya Duniani WHO hii leo siku ya Jumatano limetoa wito kwa nchi za Ulaya kuratibu mpango maalum juu ya kuzuia kuenea kwa mbu wanaosadi kiwa kuwa waenezaji wakubwa wa virusi vya Zika kabla mdudu huyu hajaanza safari yake kuelekea bara hilo la Ulaya.

Afisa wa umoja wa ulaya, Zsuzsanna Jakab amezitaka nchi za Ulaya kuchukua hatua ya kudhibiti mbu, haraka iwezekanavyo ikiwa ni pamoja na kuwashiriki sha watu wote.

Katika hatua nyingine vizuri vya Zika vemeripotiwa kuingia nchini Marekani kwenye jimbo la Texas, na kwamba mtu aliyebainika kuwa na virusi hivyo alivibeba baada ya kujamiiana.

Taarifa kuwa mgonjwa aliyebainika jimboni Texas amepata ugonjwa huu kwa kujamiina, inaleta hofu zaidi ya kuenea kwa kasi kwa ugonjwa huo ambao kwa mara ya kwanza uliripotiwa kwenye nchi za Amerika.

 

Ad