Home » Nje Ya Afrika » Haben Girma ni msichana kiziwi na kipofu wa kwanza kuhitimu Havard Law School

Haben Girma ni msichana kiziwi na kipofu wa kwanza kuhitimu Havard Law School

19 February 2016 | Nje ya Afrika

Haben Girma ni msichana mwenye miaka 27, kiziwi na kipofu wa kwanza kuhitimu katika shule ya Law (Havard Law School) huko marekani, Haben anagombania haki za watu vipofu na viziwi duniani. Leo hii Haben Girma ni wakili anayepigania haki za watu walemavu. Haben anasema kuwa yeye ni ushahidi kuwa ukiamini unaweza kufanya kitu basi utaweza kukikamilisha.

Ad