Home » Nje Ya Afrika » China imemwonya rais wa Marekani Barrack Obama kukutaa na kiongozi

China imemwonya rais wa Marekani Barrack Obama kukutaa na kiongozi

15 June 2016 | Nje ya Afrika

China imemwonya rais wa Marekani Barrack Obama kukutaa na kiongozi wa kiroho wa eneo la Tibet Dalai Lama katika Ikulu ya Marekani.

Beijing inasema ikiwa rais Obama atakutana na kiongozi huyo basi huenda hali ikaharibu uhusiano wake na Washingtin DC.

Mazungumzo kati ya viongozi hawa wawili yatakuwa ya faragha. China imekuwa ikimshtumu Dalai Lama kutumia ushawishi wake kama kiongozi wa kiroho kutaka uhuru wa eneo la Tibet ambalo China inasema ni sehemu yake.

Ad