Home » Bunge

Bunge

12 April 2016
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson kulia, Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah pamoja na wafanyakazi wengine wa Bunge wakiwa wameishika hundi Kifani hiyo yenye thamani ya Shilingi Bilioni Sita. Rais Dkt. Magufuli ameipongeza Taasisi ya Bunge kutokana na hatua hiyo ya kubana matumizi na kuamua fedha zao... [Read More]
05 February 2016
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi AUGUSTINE MAHIGA amesema serikali ya TANZANIA imesikitishwa na taarifa za wanafunzi wanne raia wa TANZANIA wanaosoma nchini INDIA kudhalilishwa hivi karibuni wakiwa nchini humo.   Akitoa taarifa ya serikali bungeni mjini DODOMA, Waziri MAHIGA amesema serikali... [Read More]
29 January 2016
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza asilimia 60 ya mapato yanayopatikana katika mifuko ya afya kutumika kwa ajili ya kuboresha huduma za afya. Waziri MWALIMU amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalumu mkoa wa TABORA, MUNDE  TAMBWE aliyetaka kufahamu mpango wa... [Read More]
27 January 2016
Mvutano bungeni juu suala la TBC kutoonyesha bunge moja kwa moja
27 January 2016
Nape Mnauye TBC kuchagua vipindi vya kuonyesha live bungeni 
26 January 2016
Baadhi ya waombolezajikatika ibada ya mwisho ya Mwamnsheria wa Bunge Oscar Mtenda
26 January 2016
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Bunge ni kwamba Kanuni ya 23 (1) (i) ya Kanuni za Bunge, toleo la Januari, 2016, Bunge litajadili Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa Bunge jipya la Kumi na moja tarehe 20 Novemba, 2015 . Mjadala kuhusu hotuba ya Mheshimiwa Rais unatarajiwa kufanyika kwa... [Read More]

Pages

Subscribe to Bunge