Home » Biashara » Maxcom Africa ltd inauwezo wa kukusanya Kodi moja kwa moja kwenda TRA

Maxcom Africa ltd inauwezo wa kukusanya Kodi moja kwa moja kwenda TRA

03 July 2016 | Biashara

Maxcom Africa ltd inauwezo wa kukusanya Kodi moja kwa moja kwenda TRA  

LINK 

Maxcom Africa ltd inauwezo wa kukusanya Kodi moja kwa moja kwenda TRA bila TRA kuendelea kusubiri wakusanyaji wapeleke mapato TRA, kwani mara nyingine yanacheleweshwa kufika serekalini kwa sababu za kibinadamu. Amesema inawezekana kwamba mapato yanayotakiwa kulipwa serekalini yanalipwa  mojakwamoja kutoka kwa Mnunuzi yanafika TRA kwa wakati kwa njia ya mtandao popote nchini.