Home » Biashara » Maboresho katika Mfumo wa Mashine za EFD

Maboresho katika Mfumo wa Mashine za EFD

16 February 2016 | Biashara

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kwamba inaboresha mfumo wa mashine za kielektroniki za kodi (EFD). Ili maboresho hayo yapokelewe na kukubalika katika mashine za EFD, wafanyabiashara wanashauriwa kuzima na kuwasha mashine za EFD.

Ad